Monday, September 19, 2011

Uchaguzi Zambia kesho

WaZambia wanatarijia kufanya uchaguzi kesho kuchagua raisi, wabunge na madiwani. Mkuu wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo (Electoral Commission of Zambia) Priscilla Isaac alisema kwamba wananchi 5 223 316 wanatarajia kupiga kura wakati maafisa takribani 60 000 watasimamia uchaguzi.

Picha zinafuatazo zinaonesha wanasiasa wakiwa kwenye kampeni kwenye vituo tofauti nchini Zambia kabla ya uchaguzi.







No comments:

Post a Comment